Description
Baccarat Rouge 540 Perfume .-Perfume ambayo inakaa kwenye nguo Muda Mrefu sana . -Perfume ambayo Haina harufu Kali kabisa kwenye nguo .-Perfume ambayo itakufanya uwe na Mvuto zaidi .-Perfume ambayo itakufanya Ujiamin muda wote kutokana na Ubora wake .