Description
Vita Buddy ni bidhaa yenye kazi zifuatazo:' 1.Kuimarisha kinga na afya ya mtoto na kumkinga dhidi ya magonjwa mbalimbali. 2.Kuboresha afya ya ubongo na kukuza utendaji kazi wa akili ya mtoto. 3.Kuongeza hamu ya kula kwa watoto. 4.Kuongeza hali ya ukuaji wa mtoto mwenye ukuaji hafifu. 5.Kumzuia mtoto kupata matege. 6. Kukuza afya na ubora wa meno na mifupa ya mtoto kwa sababu imetengenezwa kwa matunda mbalimbali yenye wingi wa madini ya Zinc na Calcium. 7. Kuongeza kiwango cha protini kwa mtoto kwa sababu imetengenezwa na maziwa halisi ya ng'ombe.