03.04.2022Tanzania, Arusha

UGONJWA WA P.I.D KWA WANAWAKE

Negotiable

Description

*?NINI MAANA YA PID, CHANZO, DALILI NA TIBA YA PID.* *PID* Ni kifupi Cha maneno ya kiingereza *Pelvic Inflammatory Disease ( PID).* P.I.D Ni maambukizi au uvimbe katika via vya uzazi. *Chanzo Cha PID* Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- . . ?Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, . kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote wazuri ,Na wabaya hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. . ?Kadhalika ujauzito kuharibika ikiwa ni pamoja na kujifungua na kuachwa bila kusafishwa . ? Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms( kwa baadhi ya watu) na kufanya ngono zembe. . Hapa baada ya tendo la ndoa kwa baadhi ya wanawake huwa wanapata shida na mafuta ya condom . Hivyo wanapaswa kujisafisha sana . ? Pia *hormonal imbalance* ni chanzo moja wapo baada ya kusababisha uvimbe *Dalili Za Ugonjwa Wa PID* 1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa . 2️⃣Kuwashwa sehemu za siri . . 3️⃣Uke kutoa harufu mbaya . 4️⃣M

Femicare

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Arusha