Description
CHANZO CHA MAGONJWA YA MENO Chanzo cha magonjwa ya meno kwa asilimia kubwa ni mitindo ya maisha tukimaanisha usafi, ulaji, mazingira na tabia mbalimbali, mambo yanayoweza kukusababishia kupata matatizo ya meno ni kama; Kuto kusafisha mdomo pamoja na meno Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi Kuto kupata tiba ya kisukari na ugonjwa wa moyo Kuvuta sigala Kuwa na magonjwa yanayopunguza kinga ikiwemo na UKIMWI Kubadilika kwa baadhi ya homoni Umri Utumiaji wa madawa yenye kemikali nyingi huharibu mfumo wa vimiminika vinavyofanya mmeng’enyo Historia magonjwa yanayoambatana na meno katika familia Mazingira DALILI ZA MTU MWENYE TATIZO LA MENO Mara nyingi dalili hujionesha wazi wengi hujijua kuwa tayari wanatatizo na mara nyingi huwa haiitajiki vipimo, zaidi huhitajika uchunguzi kujua chanzo, dalili zake ni kama Meno kuuma wakati wa kula au mda wa baridi au joto Kutokwa na damu kwenye fizi Meno kuanza kulegea na kuachana na fizi Kutoa harufu mbaya mdomoni, hii huonesha kuna tatizo Meno kubadirika rangi mfano nyeusi, njano, kahawia na rangi zingine zisizo za kawaida Fizi huwa nyekundu kama damu ikiwezekana kuna na vidonda Mdomo kuwa mkavu Meno kufa ganzi Meno kuchomoka au kutikisika JINSI YA KUEPUKA MAGONJWA YA MENO Ondoa mabaki ya chakula kwa kusukutua mdomoni na maji baada ya kutoka kula pia Kunywa maji mengi dakika 30 baada ya kutoka kula Safisha meno yako hata mara mbili kwa siku Punguza mawazo Usivute sigara Punguza au acha kunywa pombe Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali, vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi TIBA YA MATATIZO YA MENO Matatizo ya meno linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za tatizo la meno na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa. Tuna dawa ya kutibu Meno ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu, ukianza kutumia ndani ya wiki moja huanza kutibu na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa. Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya