08.08.2021Tanzania, Dar Es Salaam

TATIZO LA GESI TUMBONI

TZS 50 000

Description

JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO? Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano; tumbo kuuma na kujaa gesi mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za chakula kutokumeng’enywa unaweza kuzihisi mara kwa mara kila siku. NUKUU: Hali ya kutokumeng’enywa kwa chakula tumboni inaweza kuwa dalili ya ugonjwa mwingine wa usagaji chakula tumboni mwako. Je, Nini Dalili Za Tatizo Hili? Watu wengi wenye tatizo hili wanaweza kuwa na dalili moja au zaidi, nazo huwa kama ifuatavyo: Tumbo kujaa gesi wakati anapokula chakula Tumbo kujaa gesi muda mrefu Kuhisi maumivu ya tumbo la juu Kuhisi kiungulia juu ya tumbo Tumbo kuunguruma sana mara kwa mara na kuhisi maumivu chini ya kitovu Kuhisi kichefuchefu na kutaka kutapika NUKUU: Wakati mwingine watu wanaosumbuliwa na tatizo hili pia hupatwa na kiungulia, lakini inasaema kumbuka kuwa kiungulia au chakula kutokumeng’enywa tumboni huwa ni hali mbili tofauti. Kiungulia huwa ni moto au maumivu unayoyahisi katikati ya kifua chako ambayo yanaweza kupenya mpaka kwenye shingo yako au mgongoni mwako wakati ama baada ya kumaliza kula. Je, Nini Husababisha Chakula Kutokumeng’enywa Tumboni? Chakula kutokusagwa au kumeng’enywa tumboni husababishwa na vyanzo vingi. Mara nyingi inaeleza hali hii hutokana na mtindo wa maisha ya muhusika mwenyewe, hasa katika matumizi ya vyakula, vinywaji au madawa ya vidonge anayoyatumia. Visababishi vya tatizo hili huwa kama ifuatavyo: Vyakula vyenye mafuta mengi sana, kama vile chips, roast, nk. Vyakula vilivyokobolewa kama vile, ugali wa sembe, maandazi, chapati, nk Utumiaji wa nyama mara kwa mara Vinywaji vyenye caffeine nyingi,kama vile pombe, kahawa, nk Uuaji wa chokleti, Uvutaji sigara Kuwa na wasiwasi Mazoea ya kula au kula haraka haraka bila kujali kutafuna chakula vizuri Na kuto kutafuna chakula vizur na kulainika huwa ndiy chanzo kinaanzia haapo mdomon Matumizi ya madawa ya vidonge vya antibiotic au vyenye kupunguza maumivu mwili mwako kama vile panadol, nk. Yafaa sana kupata ushauri kwanza wa daktari kabla hujatumia madawa hayo. Kwan tambua madawa huwa ni kuzuia maambukizi yasiendelee Wakati mwingine hali ya chakula kutokumeg’enywa tumboni husababishwa na magonjwa au matatizo yanayokuwa tumboni mwako kama vile:fuatana nami Vidonda vya tumbo Uvimbe tumboni(Gastritis) Mawe ya figo Kuvimba kwa kongosho Saratani ya tumbo Utumbo kuziba Kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye utumbo mwembamba(intestinal ischemia) Je, Nini Madhara Ya Chakula Kutokusagwa Tumboni? Kwa kawaida tatizo hili linapodumu kwa muda mrefu bila kufanyiwa ufumbuzi, basi linaweza kusababisha madhara yafuatayo katika mwili wako: 1.Mzunguko wa damu kuharibika na kuwa mdogo 2.Mgongo au kiuno kuuma 3.Miguu, au mikono kufa ganzi 4.Mwili kuchoka mara kwa mara 5.Kukosa hamu ya kula 6.Macho kushindwa kuona vizuri

ELIAS MAZWAZWA

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam