Details
Description
Our aroma diffuser sio kama diffusers za kawaida, ni smart diffuser. Hii difusser ina kazi nne, diffusing, music (speaker and bluetooth), Kazi ya essential oils ukiachia skin and haircare pia hutumika kwenye Aromatherapy. Essential oils husaidia kufanya mazingira yawe fresh, relaxing, calming, healing and soothing. Duka lipo Mikocheni B, Coca cola road jirani kabisa na clouds fm radio. WhatsApp or cales Sales 0768885555