Description
Relvin Tea ni bidhaa ya virutubisho lishe yenye faida zifuatazo:- 1. Huondoa mawazo. 2. Hushusha presha(shinikizo la damu). 3. Huruhusu damu kutiririka vizuri mwilini, huondoa vikwazo vyote mwilini vifanyavyo damu kutokutiririka vizuri. 4. Huondoa mafuta kwenye moyo na mishipa ya damu.