Description
haina shida yoyote ipo na box lake full na vitu vyake vyote,inashoot 4k,KM 4 range distance,inakaa na chaj dk 30 hewani,battery mbili pamoja na memory card ya 4k 64 GB MBS 170 speed,!nipo tabata,kwa ufupi iko full box,bei kama unavyoona hapo laki sita na nusu