29.03.2022Tanzania, Arusha

P.I.D KWA WANAWAKE

Negotiable

Description

FAHAMU KUUSU P.I.D DALILI MADHARA NA TIBA YAKE #pelvicinflammatorydisease Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- . Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.Kutoa au kuharbika kwa Ujauzito na nk . DALILI ZA UGONJWA WA PID 1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa wenye harufu 2️⃣Kuwashwa sehemu za siri 3️⃣Uke kutoa harufu mbaya 4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu 5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana 6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa 7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi 8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi 9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa ?Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula MADHARA YA PID •Ugumba •Kansa ya shingo ya kizazi •Mirija ya uzazi kuziba •Majeraha kwenye mirija ya uzazi MATIBABU #PID inatibika na kupona Kwa haraka Kwa ushauri au tiba ya tatizo hili waweza Fika ofisini kwetu # P.I.D N.b - pia maradhi ya mfumo wa uzazi wa mwanamke yamekuwa Mengi ukiona unasumbuliwa na matatizo haya usisite kuwasiliana nasi * Fungus sugu ukeni * U.t.i mara kwa mara * Tatizo la kutopata hedhi kwa wakati * Maumivu wakati wa hedhi * Vimbe kwenye kizazi * Mirija ya uzazi kuziba * Kutobeba ujauzito * Kutokwa na uchafu na majimaji yenye harufu ukeni .. Wasiliana nasi upate ushauri zaidi

Femicare

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Arusha