27.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NMN CAPSULES

TZS 272 500

Description

*RUDISHA UJANA WAKO NA NMN* BF SUMA NMN 4500MG CAPSULES NI NINI?. Hii ni bidhaa mahsusi kabisa kwa ajili ya kuondoa *uzee na kuhuisha cells katika mwili na kufanya mwili wako uweze kurudi* katika upya. (Recharge aging cells for vigorous life). Watu wengi hujiuliza sana Kwanini Wenzetu waishio nchi zilizoendelea huishi miaka mingi kuliko sisi tuishio kusini mwa jangwa la Sahara (developing countries/nchi zinazoendelea?). Ukweli ni kwamba tatizo kubwa ni hali ya mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na vyakula tunavyokula ambavyo vina sumu nyingi kuharibu na kuzifanya cell zishindwe kufanya kazi vizuri. FAIDA ZA NMN 4500 MG CAPSULES. ⏺Kuongoze nguvu mwilini, ukumbukwe kuwa wazee huwa wanaishiwa nguvu mwilini. ⏺Inaongeza protein aina ya sirtuin ambayo inafanya kazi ya kuhuisha cells na kukufanya uishi miaka mingi bila kuchoka yaani *sura kuzeeka* ngozi kukakamaa, *kuondoa mikunyanzi.* ⏺Inasaidia katika metabolism kubost nishati katika mwili. (NMN help to break down food like sugar into energy). ⏺Inakinga na kutibu kisukari, afya *ya ubongo na moyo* pia inafanya mishipa na misuli ya damu kusafirisha damu vizuri. *Kwanini utumie BF SUMA NMN 4500MG capsules*. ⏺Inaundwa na content ya hali ya juu. Katika vidonge 30. Kila kimoja kinabeba 150 mg NMN. ⏺ Ni salama hakuna kemikali asilimia mia moja bidhaa hii imeidhinishwa na GRAS na FDA. Kwa ufanisi wa hali ya juu wa afya hasa ya kuhuisha cell zako kurudi upya kama kijana tumia NMN kwa dose tumia kopo mbili uone *ufanisi wake tumeshuhudia Watu waliotumia bidhaa hii wamerudi kwenye ujana katika kila kitu kinachohusu mwili wako.

Muro T.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam