Description
BAADHI YA FAIDA ZA SEA MOSS (mwani wa baharini) -Nzuri kwa wenye matatizo ya maumivu ya mgongo , kiuno, mifupa -Ukitumia sea moss Vizuri inasaidia kupungunza tumbo -Sea moss inatoa ganzi mwilini. -Sea moss inasaidia kutibu matatizo ya tumbo kujaa gesi. -Sea moss inasaidia kuweka sawa pressure -Sea moss husaidia kuondoa cholesterol. -Kwa wenye vidonda vya tumbo -Inasaidia sanaa matatizo ya uzazi. -Sea moss ina weka Sawa hamu ya kula -Sea moss inasaidia kusafisha mfumo mzima wa mwili.