Description
Mashine ya kucharge inapima Sukari mwilini, URIC ACID na BLOOD PRESSURE ina kamkwaruzo kwenye screen kama inavyoonekana. Inakuja na Testing Strips 25 za kuanzia kwa Sukari na URIC ACID Bei ni, 115,000/= Zitakapoisha unaweza kununua ; 1. Sukari- 25,000/= zinakuwa 50 2. URIC ACID - 30,000/= zinakuwa 25 Location: DAR ES SALAAM Mawasiliano: 0653776099