Description
Mr.HaRo's anakuletea mafuta bora ya mawese asilia kutoka kigoma kwa bei nafuu ,mafuta ni mapya, na yapo ya aina tofauti yapo yenye rangi (mawese mekundu) RBD mawese yaliyobadilishwa rangi kwa chemical yaani bleached , na kambili mawese yaliyobadilishwa rangi kwa moto ........kambili na RBD yanafaa kwa kutengenezea sabuni, na mawese ya rangi yanfaa kwa kula