Description
Bidhaa hii:- 1.Huongeza nguvu na kushusha shinikizo la damu. 2.Huondoa lehemu mbaya(mafuta yasiyohitajika mwilini). 3.Huongeza uchangamfu na umakini. 4. Huongeza nguvu na ashki au hamu wakati wa tendo la ndoa. 5.Huzidisha uwezo wa kuona na kusikia. 6.Huongeza uwezo wa kukumbuka(Hutunza kumbukumbu).