Description
Frozen collagen kiboko ya weupe kama umezaliwa nao Product kutoka thailand haina longo longo kabisa Kana ulikuwa unajiuliza wadada wa mjini wanatoa wapi rangi za pesa,weupe kama umezaliwa nao bila sugu wala michirizi basi jibu ni hili apa Tunza ngozi yako kutoka ndani hadi nje kwa bidhaa original pekee —hizi ni supplements za collagen vinasaidia kukaza ngozi na kuondoa mikunyazi,wrinkles,blackspot na kukuacha nyororo na kung’arisha ngozi kutoka usoni mpaka miguu —Pia collagen n nzuri sana kwa stretch marks na chunuc —Combo la Frozen collagen+extra vitamin C ni balaaa mjini Acha kuharibu ngozi yako na vipodozi vya viambata sumu No fake zone❌❌ Tunapatikana kariakoo, msimbaz st