Description
Forever ToothGel . ?Dawa ya Meno itakayo ondoa Taka zote kwenye Meno na kukuacha Mweupe . ?Dawa ya Meno ambayo haiana FLOURIDE(No Flouride) ambayo ni Hatarishi kwa Meno na Afya yako . ?Dawa ya Meno ambayo itaua na kupambana na BACTERIA wote . ?Dawa itakyoipa Afya FIZI zako za Meno . ?Dawa ambayo itakiacha kinywa Chako Salama na Harufu nzuri .