31.03.2022Tanzania, Arusha

FAHAMU UGONJWA WA U.T.I

Negotiable

Description

[3/31, 21:26] Nick: Okay sasa hospital hawarusu mgonjwa kupewa dawa yeyote ivyo ni vyema kumuacha kwanza baada ya kuruusiwa ndio unaweza kumshauri aaanze sasa [3/31, 23:27] Nick: FAHAMU UGONJWA WA UTI, DALILI NA JINSI YA KUEPUKA UTI SUGU UTI(Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe kama bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo. UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo MFUMO WA MKOJO Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya ziada Mfumo huu unaundwa na ureta,kibofu cha mokojo,figo na urethra sitachambaua kwa undani hizi sehemu KISABABISHI CHA UTI Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa kupata tiba pamoja, Maambukizi ya UTI ni makubwa sana dunian Zaidi ya watu milioni 8 pointi 1 wanaathiriwa na ugonjwa huu KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA? Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje 1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu 2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI ‪#‎Watu wenye vidonda kwenye uti wa mgongo ‪#‎Mtu yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo ‪#‎Tendo la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra ‪#‎Baadhi ya njia za uzazi kama kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk KURUDIARUDIA KWA UTI(UTI SUGU) Mara nyingi wanawake wakipata UTI inaweza ikawa inajirudia mara kwa mara kulingana na sababu zifuatazo 1.Uwezo wa bakteria kujishika kwenye njia ya mkojo hivyo kutotibika na kurudia tena 2.Sababu nyingine ni wanawake kuwa non sector yani kuwa na damu grupu A,B na AB ambao hawawez kuzalisha kinga nzur kwa ajili ya hao bakteria DALILI ZA UTI 1.Kukojoa mara kwa mara na maumivu wakati wa kukojoa 2.Kuhisi kuunguzwa na mkojo kwenye kibofu au mrija wa mkojo 3.Maumivu ya misuli na tumbo 4.Mkojo kuwa na harufu mbaya na pia kubadilika rangi kuwa nyeusi au rangi ya mawingu nk 5.Kwa mtu aliyeathiriwa figo anaweza kuwa na maumivu mgongoni au kwenye mbavu pia kichefuchefu na kutapika 6.Kushikwa na hamu ya kukojoa ila mkojo unatoka kidogo JINSI YA KUZUIA UTI SUGU 1.Kunywa maji mengi kunsaidia kusafisha bakteria kwenye mfumo 2.Mtu anatakiwa akojoe mara kwa mara kila anapojiskia kukojoa Mkojo ukikaa sana kwenye kibofu unaweza zalisha bakteria Na baada ya kukojoa wanawake wanatakiwa kujisafisha kuanzia mbele kurudi nyuma ili kulinda urethra 3.Vaa nguo za ndani za pamba na ambazo hazibani sana kuruhusu hewa kupita vizuri ,epuka jinsi zinazobana sana ambazo zinaweza kukusanya na kuleta tatizo. Karibu kwa ushauri zaid

Femicare

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Arusha