Description
Bidhaa hii husaidia:- 1. Kuondoa harufu mbaya kinywani. 2. Kuzuia meno kuoza na kutoboka kutokana na kushambuliwa na bakteria wabaya. 3. Kuzuia fizi kuvimba na kutoa damu. 4. Kuepusha ung'oaji wa meno kwa vile huondoa kabisa tatizo la meno kuuma na kuoza. 5. Hung'arisha meno yenye unjano na ukungu uliosababishwa na uvutaji wa sigara au unywaji wa pombe uliokithiri.