Description
*DERMAEVER NI NINI* Ni lotion ambayo imetengenezwa takriban na mimea asili 7 isiyo na kemikali na ni chakula Kwa ngozi. Mimea hiyo inaifanya *DERM EVER* kuwa mafuta Bora ya mwili na uso na kukupa faida zifuatazo Inaongezwa unyevu kwenye ngozi, Kwa asilimia 53% Inarudisha uwezo wa ngozi kutanuka na Kusinyaa Hivyo huondoa makunyanzi kwenye ngozi. inaleta mng'ao wa ngozi Inamfanya mtumiaji kuwa na ngozi yenye rangi Moja mwili mzima. inasaidia kuondoa uchakavu wa ngozi kwa watu wote. inasaidia ngozi kujilinda na kujitibu na magonjwa ya ngozi, kama vile mabalango. huondoa cell zilizokufa kwenye ngozi na kuchochea uzalishaji wa cell mpya kwenye ngozi. inarekebisha ngozi iloungua na cream zenye kemikali...