Description
Bidhaa hii ni mahsusi kwa kutibu magonjwa yote ya mifupa na maungio. Ugonjwa wa mifupa na maungio huxababishwa na kulika au kusagika kwa mifupa . Pia tatizo hili hutokana na kukosekana kwa gegedu na synovial fluid katika mifupa au maungio.