Description
Bidhaa hii ina faida zifuatazo:' 1. Huponya vidonda vya tumbo. 2.Inasaidia mmeng'engo wa chakula kuwa vizuri. 3.Inaondoa kiungulia kwa haraka sana. 4. Inaondoa tatizo la kuhara, kuhara damu na kutapika kwa haraka sana. 5.Ni nzuri kwa aliyekula(kunywa) sumu. Humfanya mwathirika asife. 6.Huponya maumivu yote ya tumbo. 7.Huponya maumivu ya meno.