Description
Anatic herbal essence soap ni sabuni iliyo tengenezwa kwa kutumia asali ya porini ya chai. na alizeti. sabuni hii ni kwa wale wanaoiijali ngozi yao na kuzidi kuwa na ngozi inayopendeza kwa mwonekano lakini pia kwa afya ya ngozi. anatic soap ndio suluhisho kwa urembo wa ngozi kwa sababu:- 1.zinaondoa makovu, mabaka ,chunusi kwa haraka. 2.zinaondoa miwasho,vipele kwenye ngozi. 3.zinafungua vitundu vyangu ngozi, hivyo kuihakikishia hela safi wakati wote. 4.zinasaidia ngozi iliyokufa kuondoka hivyo kuacha ngozi bora zaidi. 5.zinaua bacteria wabaya wote kwenye ngozi na kuilinda ngozi na mionzi mikali ya jua. 6.huondoa mba kichwani. hii ni nzuri kwa watoto na watu wazima kwa jinsia zote. anatic ni huduma ya kwanza kwa aliyeugua ; ukipaka povu lake kwa mtu aliyeungua na maji au mafuta basi hawezi kutoka na lengelenge.