22.10.2026Dar es Salaam

Wholesale 12 Slots Full Set

TZS 270 000

Description

Inauzwa seti kamili ya saa 12 za mkononi zenye muonekano wa premium Looking, miundo ya kisasa na rangi tofauti za kuvutia. Seti inajumuisha aina mbalimbali za saa, zikiwemo zenye brand ya Casio, brand inayojulikana duniani kwa ubora, uimara na miundo yake ya kipekee. Saa zote zinakuja pamoja na full box lenye slots 12 kwa ajili va kuhifadhi na kuonesha saa kwa mpangilio mzuri.

Loare

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam