20.07.2023Dar es Salaam

Finishing Touch Shaver,

TZS 25 000

Description

Hii ni shaver inayotumika kunyolea nywele kwapani, miguuni,sehemu za siri, ndevu na sehemu zote zinazotakiwa kutolewa nywele, inatumika kwa wanawake na wanaume pia, ukinyoa haupati vipele wala miwasho, inatumia umeme na inachargiwa kama simu, Inapatikana kwa jumla na reja reja Jumla Tzs 20,000 kuanzia tatu, rejareja Tzs 25,000 Tunapatikana kimara baruti na mikocheni Dsm Delivery tunafanya popote ila mteja utalipia Call/ Whatsap 0655500847

Elizabeth

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam