14.02.2025Dar es Salaam

Used compressor from Japan

TZS 18 000 000

Description

Nauza compressor za used kutoka Japan brand za airman,denyo,yanmar, Mitsubishi etc bei zetu ni maelewano kutokana na ukubwa wa horse power pia tunaunda matela ya kubebea kwa bei nafuu saana. karibuni saaana wateja wangu.

Majoja M.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam