Details
Description
mradi wa viwanja kibada mwela kigamboni km 9kutoka darajani. km10 kutoka feri. km 2 kutoka mji mwema. ukubwa wa kiwaja ni sqm280. malipo ni awamu 2 Huduma za jamii zote zipo na ujenzi kwa wengine unaendelea na usalama wa kutosha 0693410359 tupigie kuweza kufika site na kukagua eneo.