Condition:
NEW
Description
Ni godoro nzuri Sana hii kiukweli binafsi naipenda Aina Mambo mengi Sana Kwasababu imetengenezwa kwa viwango vya ubora wa hali ya juu Sana Aiweki mashimo Wala aivimbi Ni godoro ngumu Safi kabisa Inaondoa maumivu ya mgongo kiuno pia na uchovu Ina warranty 7 hadi 12 Density 28 Agiza leo nikuletee Size ni 5 X 6 inch 10 Usafiri natoa bure kwa watu wote. Wa dar es salaam