Description
kwamahitaji wa milango ya nakishi almarufu zanzibar doors karibuni sana tunapatikana jumbi zanzibar WhatsApp number na kupiga kikawaida +255652348182 milango yetu ni mizur sana kutokana na ubora wa mbao ambazo tunatumia tunatumia mbao za mninga na mkongo milango yet tunatuma popote unapohitaji wengi wametumia milango yetu ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania na hatujawahi kupata malalamiko ya aina yeyote kama unahitaji karibuni ofisini kwetu piga sim ili kupata maelekezo zaid kuhusu huduma zetu