Condition:
NEW
Description
WALLPAPER ZILIZOPO ( Inatumika kubandikwa ukutani ili kubadilisha muonenekano uwe mzuri ndani kwako au sebuleni kwako) Wallpaper 01 Urefu mita 10 Upana cm 53 Ukuta mmoja wa mita 2 zinatosha roller 02 Ufundi kubandika kila roller Tsh 10000 KARIBUNI SANAAA