Description
FAIDA ZA SUPER GRO. ♦️Inaongeza wingi wa mazao ♦️Inaongeza rutuba kwenye ardhi ♦️Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja ♦️Hupunguza ghalama za kilimo ♦️Huongeza uzito wa mazao ♦️Huzuia fangas au ukungu kwenye mimea ♦️Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyolemaa au kudumaa