04.11.2022Pwani

Shamba linauzwa zipo ekari 8.

TZS 500 000

Description

Shamba hili linauzwa kwa bei ya laki tano (500,000/=) kwa ekari.Mazungumzo yapo...Shamba lipo kiwangwa-Bagamoyo,,,,kilomita 3 kutoka barabara kuu ya lami iendeyo Dar es Salaam. Shamba limeshawahi kusafishwa mara mbili lipo safi na barabara ipo vizuri sana unafika na gari hadi shambani....Shamba halina mgogoro wowote na hakuna madalali unakutana na mwenye shamba mwenyewe kupitia mawasiliano yake hapo chini. Karibuni sana kwa mawasiliano piga namba 0783618357 au 0769868474

John H. I.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Pwani