Description
boma nyumba linauzwa lipo chanika zingiziwa pale secondary kutoka kituo cha daladala mita 35 Lina vyumba 3 sebule jiko na choo umeme maji hospital shule vyote vipo piga sim 0655005183 Au ukiwa na gari Kama ist raum Alex Runx Noah tunaweza ku exchange