Condition:
USED
Description
NYUMBA INAUZWA YA KUPANGISHA YOMBO VITUKA TEMEKE MUNICIPALITY Nyumba Ina Vyumba Kumi Na Tatu(13) Inafaa Sana Kwa Kupangisha&Lodge Umiliki: Leseni Ya Makazi (Residential Licence) Ukubwa Wa Eneo: SQM 529 Mark : Ofisi Ya Serikali Ya Mtaa Yombo Vituka Sio Mbali Kutoka Barabara Kuu Ya Lami Bei : 35 Million (Makadirio) Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/= Simu Namba 0620876252 KARIBUNI SANA