Condition:
NEW
Description
Mosquitoes net Hii ni net nzuri ya kisasa kabisa kama inavyo onekana hapo . Net hii unaipachika kwenye kona za godoro kwa maana hiyo ni laisi kuitoa pindi unapo amka au unaweza kuiacha. Material yake ni magumu siyo laisi kuchanika kizembe labda utumie kiwembe. Inafunga kitanda cha 5x6, 6x6, 6x7.karibu Sana