Condition:
NEW
Description
Mashuka mazuri ya cotton kutoka Uganda Size ni 7×8 na 8×9, yanatosha kitanda chochote Quality ni 100% Hayapauki wala kutoa rangi ukifua Hayatoi vipele Ni soft and very comfortable hata kwa wenye sensitive skin Shuka 2 na foronya 4 ni sh 50000 tu!!! Shuka 1 na foronya 2 ni sh 35000 tu!!!