Condition:
NEW
Description
Material nzuri kutoka uturuki shuka zetu ni nzuri mno Havitoii Vi nyuzi nyuzi Wale wa mikoa ya baridi duvet inawafaa ni nzito sana Duvet 1 shuka 2 Foronya 3 KingSize (8X8) kubwa mn Rangi nyingi zipo na plain zipo delivery ipo mikoani natuma kwa uaminifu