28.05.2022Tanzania, Dar es Salaam

Tunauza kiatamizi cha solar

TZS 300 000

Description

Jipatie ofa ya kiatamizi cha mayai 56 kwa 300.000/= Tsh tu. Tumeshusha Bei ya incubator mpaka laki tatu,Hii ni kwasababu tunakupenda sana wewe mfugaji mdogo na atutaki kukuacha nyuma nyuma. Mfugaji unapo miliki incubator yako ndogo nyumbani itakusaidia kuongeza idadi ya kuku,hivyo ni rahisi kufikia ndoto za kuwa mfugaji mkubwa. Unasubiria nini ????ni muda wa kufanya maamuzi sasa. MAWASILIANO 0747 608 608 0656 446 991 TUPO DAR ES SALAAM (TEGETA) TUNATUMA MIKOANI KOTE KWA UTARATIB

Godwin

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam