17.10.2022Dar es Salaam

Maharage ya soya Bei Ya jumla

TZS 2 900

Description

Nauza Maharage ya soya kwa Bei ya jumla kuanzia kilo 50, nafaya delivery kwa wateja wetu wa Dar pekee kwa uaminifu mkubwa sana. punguzo lipo kwa mteja wa kuanzia kilo 200. weka akiba ya chakula maisha yanaenda Kasi sana mjini. 0766757005

Kutoka S.

Member since 2016.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam