Description
Bidhaa hii ina faida zifuatazo:- 1. Hutibu U.T.I sugu na inayojirudiarudia. 2. Hutibu fangasi sugu kwa wanawake. 3. Huondoa miwasho sehemu za siri za mwanamke. 4. Hufanya uke kuwa na ute ute unaotakiwa kwa mwanamke. 5. Husafisha uke. 6. Huondoa harufu mbaya ukeni na kuondoa uchafu wa njano utokao ukeni. 7. Huondoa maumivu wakati wa hedhi na wakati wa tendo la ndoa. 8. Huondoa tatizo la ukavu uke.