Description
Bidhaa hii ina faida zifuatazo:- 1. Hurejesha na kuongeza hamu ya kula kwa watoto hivyo kuwafanya wawe na afya bora. 2.Inaimarisha afya ya meno na mifupa kwa watoto. 3.Inaongeza kinga za mwili kwa watoto na kuwafanya wasiugue mara kwa mara. 4.Inazuia matege na ukuaji duni kwa watoto. 5. Inaongeza ukuaji mzuri wa watoto.