Description
Bidhaa hii ni mahususi kwa:- 1. Kuondoa athari zote za vipodozi vyenye kemikali na kuufanya mwili kuwa na rangi moja mwili mzima. 2. Huondoa makovu yote usoni, mapajani, makwapani n.k 3. Huifanya ngozi kuwa nyororo na laini yenye unyevunyevumuda wote.