Description
Tunauza na kukopesha viwanja kwa bei nafuu kabisa viwanja vipo Vikindu vianzi bei inanzia laki tisa 9 kuendelea na Kigamboni mwasonga vinanzia million moja kuendelea. VIWANJA vimepimwa na huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana kama maji, umeme na mengine. Pia unaruhusiwa kulipa kidogokidogo mpaka unamaliza wahi mapema viwanja vinachukuliwa kwa kasi sana kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948