04.07.2023Pwani

Shamba la eka 60 linauzwa kiwa

TZS 30 000 000

Description

shamba la eka 60 linauzwa shamba hili lipo hapa Kijiji Cha bago kata ya kiwangwa wilaya bagamoyo mkoa wapwani shamba hili linauzwa lote milioni 30 shamba lipo kilometa 7 kutoka barabara yalami kabisa iyendayo msata bagamoyo kila eka moja inauzwa laki 5 pia mazungumzo yapo tena mazuli ikifika shamba nakama unalitaka kweli kwamawasilino zaid piga. 0656878067

Mashaka

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Pwani