Condition:
NEW
Description
RESISTANCE BAND Hii ni mipira ambayo wadada wengi hutumia kwenye mazoezi ya kuongeza Makalio, Hips na Shepu kwa ujumla .. Ni bands nzuri sana kwa wanaofahamu kazi yake vizuri Set yake zinakaa 5 .. Extra Heavy, Heavy, Medium, Light na Extra Light