Description
inavyumba vitatu kimoja ni masta ipo mbezi malamba mawili njia ya kinyerezi ukishuka msikitini boda ni buku na ukishuka kwa bibi unatembea dk5_7 eneo linaukubwa wa 19 kwa 21 bei ni milioni 26 lakini tunaweza kuongea ikapungua kidogo nyumba inaumeme imepigwa plasta na rafu chini maji sijavuta lkn yapo jirani tu nichek kwa no 0626500707 0738482097 0674334743