13.01.2026Mbeya
Description
Nyumba ipo mlowo tazara, ina vyumba viwili vya kulala, choo ndani, ina maji, umeme, ina fensi . ukubwa wa eneo ni meter 35 kwa 35 mraba. Bei ni 15,000,000 mazungumzo yapo. mawasiliano, 0768565411.
Chat with Chief C.
Call Chief C.