10.03.2022Tanzania, Morogoro

Kiwanja nusu eka mkundi sheli

TZS 10 000 000

Description

Kiwanja kikubwa nusu ekari, sqm 1800 kimepimwa kiposehemu tambarale, ukijenga hakuna gharama za msingi, ardhi ngumu hata kipindi cha mvua kubwa. Udongo wake hauweki crack kwenye nyumba, pamejengeka vizur, kipo mkundi sheli, kilomita 1 kutoka lami,Bei milion 10. nunua kiwanja salama... KWA FURAHA YA FAMILIA 0652644084/0734443403

ANTONY S.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Morogoro