Description
# ENEO# LA BIASHARA# LINAUZWA# KIBAHA MAILI# MOJA. Eneo lipo kibaha mjini mtaa wa lulanzi pwan Eneo limepimwa na lina hati miliki. Umeme na maji yapo katika eneo. eneo limechangamka sana na huduma zote za kijamii zipo. Matumizi ya eneo linafaa kwa shule, kiwanda, yadi,godauni n.k. Ukubwa wa eneo lina ukubwa wa 2.304 hecta, sawa na heka sita kasoro (mita za mraba 23040) Eneo liko mahali pazuri sana kwa uwekezaji, mita 900 toka moro road, Bei ni TSH 25,000/= kwa SQM moja