Description
Bidhaa hii ina faida zifuatazo:- 1.Huongeza madini ya Calcium na Zinc mwilini hivyo husaidia katika ukuaji na ubora wa meno na mifupa kwa watoto na watu wazima pia. 2.Huimarisha kizazi kilicholegea hasa kwa wajawazito. 3.Hukuza watoto vizuri tumboni. 4.Huongeza hamu ya kula kwa watoto. 5.Husaidia wanaume kutoa mbegu nyingi na bora kwa wanaume. 6.Huondoa maumivu ya hedhi. 7.Husaidia mfumo wa fahamu kufanya kazi vizuri. 8.Huimarisha mifupa na meno.