Description
Brand new Mini Washing Mashing! Ni machine ndogo za kufulia zenye uwezo wa kufua na kukamua nguo kilo 3. Ipo portable kiasi ambacho inakuruhusu kuibeba na kuhama nayo, haili umeme kutokana na udogo wake (mtu yoyoye anamudu matumizi), inarahisisha shughuli za ufuaji hususan kwa mabachela, wenye shughuli za kusafiri (kama madereva), wanafunzi wa chuo, watu wa maofisini kama vile wenye saloons na kina mama wenye watoto wachanga (punguza shurba za kufua nguo za mtoto kwa kutumia Yoko mini washing machine)Unaipata kwa 130,000Tsh! Tupo Dar Kigamboni Ferry opposite na sheli ya KobilTunafanya free delivery na mikoani tunatuma. Call: 0777 - 888 486Whatsapp: 0659 - 960 296